Interested na aina hii ya online store?


Kuhusu Online store

Online store ni nini?
Online store ni duka la mtandaoni ambapo mfanya biashara huuza bidhaa au huduma kupitia tovuti au app badala ya duka la kawaida.
Wateja wanafikaje?
Wateja wanafikia online store website / app kupitia simu au kompyuta
Wateja wanaagizaje bidhaa?
Wateja wanafikia online store website / app wanaangalia na kuchagua bidhaa wanazotaka (mfano nguo, vifaa, chakula). kisha wanapiga simu / whatsapp
Faida ya online store ni nini?
Online store inarahisisha kuuza bidhaa na kufikia wateja wengi zaidi kwa haraka kwa upande wa mfanya biashara, kwa upande wa mteja inamrahisishia kufanya manunuzi bila kwenda dukani

Jinsi kutumia Online store?

Jinsi ya kuingia kwenye akaunti ya Online Store (kwa mmiliki)
Unaingia kwenye app ya Online store kwa simu kisha unalogin kwenye akaunti kwa kutumia Namba ya simu au Username na Password
Ndani ya akaunti ya mmiliki kuna nini?
Kwenye akaunti ya mmiliki ni sehemu unayoweza kuona , kuongeza , kuhariri au kufuta bidhaa, pia unaweza kuona idadi ya watembeleaji wa online store nk
Ndani ya akaunti ya mmiliki lugha gani inatumika?
Unaweza kuchagua lugha unayopenda kutumia kiswahili au kiingereza.

Gharama za kumiliki wa Online store

Gharama zipoje?

Gharama sio kubwa sana kumiliki online store na zinalipiwa kwa mwaka zipo kama zifuatazo

1.jina la online store . mfano www.myduka.co.tz Tzs 25000/= / mwaka au www.myduka.com USD 11 / mwaka

2.Hosting Server ambayo ni USD 34 kwa mwaka.

Inalipwaje kwa kutumia Visa card au master card au malipo ya simu

Gharama za kununua Online store kutoka Digital Finix Team?
Gharama ni nafuu sana ni laki nne na nusu tu gharama ya kununua online store yako.
Ninanunuaje Online store kutoka Digital Finix Team?
Piga simu / Whatsapp +255 625 187 455 Lipa nusu baada ya online store kuwa hewani na wewe kupewa nyaraka zako za umiliki unakamilisha malipo yaliyobaki

Maswali ya mara kwa mara?

Je, ni lazima niwe na kampuni ili nimiliki Online Store website?
Hapana, sio lazima , online store inaenda kwa sheria za kimataifa hivyo sio lazima usajiliwe brela kwa sababu unakuwa tayari umesajiliwa kwenye kitabu cha internet lakini ili kulinda brand yako ni vyema kusajili jina la biashara ili mtu mwingine asilitumie kufanyia biashara.
Je, ninatakiwa niwe na nini ili nimiliki Online Store website?
Unachotakiwa kuwa nacho ni bidhaa kwa ajili ya kuweka online , vitu vingine vinavyohitajika ni taarifa zako za mawasiliano ambazo atatumia mteja, hivyo sio lazima uwe na store unaweza kuuzia hata ukiwa nyumbani lakini kama una store ni sawa sawa.
Je ni ngumu kuendesha Online store online?
Hapana, baada ya kupewa mafunzo jinsi ya kutumia app yako kuingia kwenye akaunti ya kuendeshea mambo mengine kama kuweka bidhaa , kufuta ni rahisi sana zaidi ni kujua jinsi ya kusambaza online store link kwenye social media.
Inachukua siku ngapi kwa online store yangu kukamilika?
Inachukua siku tatu tu na tayari utakuwa na online store yako ya www.mybusiness.co.tz au .com yako

Malipo / Msaada & Mawasiliano kuhusu Online Store

Mawasiliano?
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp, simu +255 625 187 455.

Best Sellers

New ASUS Laptop

New ASUS Laptop

( 12 ) - Sold

TZS 550000 / Pcs

OPPO A37 GB64 RAM4

OPPO A37 GB64 RAM4

( 20 ) - Sold

TZS 90000 / Pcs

Tv & fan used

Tv & fan used

( 5 ) - Sold

TZS 35000 / Pcs

Used tv & fan

Used tv & fan

( 2 ) - Sold

TZS 350000 / Pcs

Hp pc

Hp pc

( 2 ) - Sold

TZS 450000 / Pcs

Sample

Sample

( 10 ) - Sold

TZS 100000 / Pcs

kljlkjlk

kljlkjlk

( 12 ) - Sold

TZS 600000 / Pcs

HP OmniBook Ultra Flip Laptop

HP OmniBook Ultra Flip Laptop

( 10 ) - Sold

TZS 3700000 / Pcs

socket za umeme

socket za umeme

( 36 ) - Sold

TZS 1000 / Pcs

another product shit babe

another product shit babe

( 11 ) - Sold

TZS 20000 / Pcs

Lina birthday

Lina birthday

( 31 ) - Sold

TZS 10000 / Pcs

Mbugani clips

Mbugani clips

( 9 ) - Sold

TZS 10000 / Pcs

shati jipya la jeans

shati jipya la jeans

( 200 ) - Sold

TZS 10000 / Pcs

Computer ksksksk

Computer ksksksk

( 5 ) - Sold

TZS 20000 / Pcs

Home FAQ Products Whatsapp Call Account
Interested? Go back Digital Finix